Thursday, October 1, 2020

JABARI - ANGALAU (Official Lyrics)





(Ubeti 1:)
Wakati wa maumivuuu, niliwaza namna gani nitaweza ishi, maisha ya upweke,
Kichwani wivuuu, nikijikaza napambana penzi lisiishe, watu wanicheke,

Mmh kila siku, vilio, maumivu, yakichwa, vidonda, na mimi salaleeh,
Ooh moyo haubeep, ni mbio, ninawivu, nikaficha, nikakonda, mwilinii ii, nisilaalee,

(Kiitikio:)
Oooooh Bora upweke, ANGALAU,
Bora upweeke, ANGALAU,
Bora upweeke, ANGALAUU,
Una amani,
Mmmmh saivi moyo, ANGALAU,
Wangu moyo, ANGALAU,
Wangu moyo, ANGALAUU,
Una furaha,

(Ubeti 2:)
Zile zakupigiwaga simu, unanionatafuta mahali banzani muongee,
Unashusha sauti unabana pua kimahaba mchonge,
Unabadili wapenzi watu wanajua aibu inizongee,
Mate ukanitema mbele ya rafiki zaakoo,

Paale unaposahau sadaka ya muda wangu niliokupatia,
Uaminifu waangu, upendo tena na ukweli wangu pia,
Chozi nilipoanguuusha, ukalikimbia,
Mwisho ukanikana, kwa kinywa chaakoooOO, (Kila siiiku ooh vilioo ee)

Mmh kila siku, vilio, maumivu, yakichwa, vidonda, na mimi salalee,
Ooh moyo haubeep, ni mbio, ninawivu, nikaficha, nikakonda, mwilinii ii, nisilaalee,

(Kiitikio:)
Bora upweke, ANGALAU,
Bora upweeke, ANGALAU,
Bora upweeke, ANGALAUU,
Una amani,
Hiiii saivi moyo, ANGALAU,
Wangu moyo, ANGALAU,
Wangu moyo, ANGALAUU,
Una furaha,
Oooooh Bora upweke, ANGALAU,
Bora upweeke, ANGALAU,
Bora upweeke, ANGALAUU,
Una amani,
Mmmmh saivi moyo, ANGALAU,
Wangu moyo, ANGALAU,
Wangu moyo, ANGALAUU,
Una furaha, oooh oo ooh,

(Kibwagizo:)
Inawezekana, ukaendaga jeela
Sabu ya mapenzi unaweza poteza fahamu, Ukabebwa macheela,
Hata kaabla ya muda wako, ukaenda aheela,
Ama ukipenda waweza dhibiti moyo, ukabaki bacheela,
Ile STOP
Inawezekana, ukaendaga jeela
Sabu ya mapenzi unaweza poteza fahamu, Ukabebwa macheela,
Hata kaabla ya muda wako, ukaenda aheela,
Ama ukipenda waweza dhibiti moyo, ukabaki bacheela,
Ile STOP, Oo oOh

Featured Post

JABARI - ANGALAU (Official Lyrics)

(Ubeti 1:) Wakati wa maumivuuu, niliwaza namna gani nitaweza ishi, maisha ya upweke, Kichwani wivuuu, nikijikaza napambana penzi lisiishe, w...