Tuesday, August 6, 2019

JABARI Ft B2K_BAADAE (lyrics)



Cover by Grant Sillah;+255 766 226 693
       Produced by BEN BEAT


Intro: Untouchable

Verse 1: (JABARI)
Ule uzuri wa macho yako, Kwingine nikawa sioni,
Nikatekeka mwenzako, yaani kabisa
Sikujua upande wako, kumbe unayo ya sirini,
Nilipokuja zinduka ushanimaliza,

Mwenzako ungeniambia ukweli wa moyo sa kwanini unidanganyeee?,
Ungenieleza mimi nitambue, nisiwabane,
Huko uliko kama unafuraha mola ajalie muoanee,
Mmmm o oo oooh,

{Nikweli nakuwaza, mana kunamengi ulonifanyiaa,
Sio kwamba nakukwaza, nachotaka huu ujumbe kukufikia}x2

   Chorous: (JABARI)
BAADAE,
Nawe tukionana, salamu iwe sawa nawe,
BAADAE,
Hakupenda maulana, labda mi ningedumu nawe,
BAADAE,
Kuachana sio vita, sinaga uhasama nawe,
BAADAE,
Popote utapopita, usikwepe nikionana nawe,
"Star beat boy"

Verse 2: (B2K)
Mwenzio nakuhangaikia, mbali na huyo wako alofanya uniache,
Yangu machache pia, hivi kwani nanuka uniteme mate,

Au sababu penzi, nawe na unawengi, basi ukafanya penzi starehe,
Na niliona wengi wenye ushawishi ila sikuienzi starehe,

Sawa kama nilikuboa, ulishindwa kunambia?,
mi nahisi ulinichoka,
Mguu wako ukautoa, yaani kiguu nanjia,
Heshima yangu ukaitupa,

   Chorous: (JABARI & B2K)
BAADAE,
Nawe tukionana, salamu iwe
(Nana nana ee){b2k}
sawa  nawe,
BAADAE,
Hakupenda maulana,
(uu na aa ee){b2k}
labda mi ningedumu nawe,
BAADAE,
Kuachana sio vita,
(Nanana nana){b2k} sinaga uhasama nawe,
BAADAE,
Popote utapopita,
(Uu wouwo ooh){b2k} usikwepe nikionana nawe,
BAADAE,
(Iye iye iyee as aaaa){b2k}
Nawe tukionana, salamu iwe sawa nawe,
BAADAE,
Hakupenda maulana, labda mi ningedumu nawe,
BAADAE,
Kuachana sio vita, sinaga uhasama nawe,
BAADAE,
Popote utapopita, usikwepe nikionana nawe,

Autr: (Jabari)

Nawe tukionana, salamu iwe sawa nawe,

Hakupenda maulana, labda mi ningedumu nawe,

Kuachana sio vita, sinaga uhasama nawe,

Popote utapopita, usikwepe nikionana nawe,

Bridge: (Jabari)
{Ikawe amani tu Baadae}x2
Wala sio vita mimi nawe,
Wala sio ugomvi mimi nawe

{Ikawe amani tu Baadae}x2
Na si visasi mimi nawe,
Na sio visa mimi nawe,

Eee eee, sio ugooomvii,
Mmmmh, Eeeee,

Thanks for the support
#jabari #b2k #baadae
Wela masho ft Jay manjo & Jabari

Featured Post

JABARI - ANGALAU (Official Lyrics)

(Ubeti 1:) Wakati wa maumivuuu, niliwaza namna gani nitaweza ishi, maisha ya upweke, Kichwani wivuuu, nikijikaza napambana penzi lisiishe, w...